Placing the blame in wrong place as usual. Go to internet and check commodity trends for palm oil, different fertilizers, etc. Shipping and logistics have been up 30-40 pc since Covid and are only expected to start easing in June. etc.Chinese, IMF loans zinatupeleka mbio sana
Hii Alba kuna client alilipa rùmù! It's good, wack food thoughView attachment 54822
Opportunity have to be utilised. Ni wakati wa siasa
Leta experience. I haven't been there but I also hear ni mali safi sana. Maisha soft paleHii Alba kuna client alilipa rùmù! It's good, wack food though
View attachment 54822
Opportunity have to be utilised. Ni wakati wa siasa
View attachment 54822
Opportunity have to be utilised. Ni wakati wa siasa
Farm inputs
Lakini mambo kama hayo mtapanga saa ngapi mkiwa juu ya magari five years na mkipanga vile mtapinga kila mpango wa serikali ili muwe maarufu.High time African countries start being self reliance especially Food matters.
Unga ya ksh 90.00 !Cue the politricksters washukishe bei over the election period halafu mlipe quadruple baada ya kuwapigia kura.
An opportunity have to be milkedLakini mambo kama hayo mtapanga saa ngapi mkiwa juu ya magari five years na mkipanga vile mtapinga kila mpango wa serikali ili muwe maarufu.
Sasa nasikia press confer imeitishwa kutoa lawama na kushawishi serikali igharamie sehemu ya bei za mbolea. Pesa za hiyo gharama zitatoka wapi kama si wakenya wale wale ambao wanalia kufinywa. Unafiki utatuuwa.
An opportunity have to be milkedView attachment 54844
Ndio wao na comparisons...ata kama zingine ni uwongo
Amerix anakaa kama Kenyan politicians....they do not live in Kenya.Amerix akiona hii list he'll criticise it for having bread, sugar, maize flour, unga ya chapo and cooking oil.