Kúhúra mboco

Deep Sea

Lister
its that season once again
206205300_142909477934316_1811549485213733914_n.jpg
 
What I underwent last year, sitawahi sahau. Nilikua nimehire 2 ladies na mzee mmoja, wamama ni wa kuharvest na mzee wa kuzipiga. The material day, mzee akaenda MIA, nikasema nijaribu kuzipiga kabla nipate casual labourer mwingine. Sema kupata blisters. Hapo na hapo nilisema mimi na ukulima yenye si automated, ni kama lootall na honesty.
 
Ungelipa tu a bit more zipelekwe mahali unaishi, uzikaushe two more days, uzikanyage kanyage na gumboots, zitoke zenyewe.
 
Nimeona wanaume mabinti hapa.
Kwani how soft are your hands.
Dirty hands clean money.
Eti dakika mbili blisters.
@Nefertities how about you
Tell them
That's hard work and nowadays people work smart. If you think hard work is lucrative, show me a rich donkey or even a rich tea/coffee/groundnut/cashewnut/vegetables small scale farmer who can tell you, nilianza na debe moja ya waru......
 
Back
Top