How much per kg? Na mara ngapi Kwa mwezi?Wadau kuna mtu anataka pilipili in large amounts 7 tonnes . Kama wewe iko nayo kuja tupige fiashara otungu anuke.
Any leads will be highly appreciated. TIA
Red demonWhich type specifically?
Ii ndio inatakikana the ordinary red chilliRed demon
How much per kg? Na mara ngapi Kwa mwezi?
Yenye unaeza supply not a must the 7 tonnes at oncePilipili moja moja hadi tani saba? All at once or over a period of time?
What's the going rate as of now? juu huku naambiwa 150/= per kg for dry chilli na 40/= per kg for freshHow much per kg? Na mara ngapi Kwa mwezi?
Hapa Mwea tunanunuliwa 50bob per kg of fresh chilli kwa farmgate.What's the going rate as of now? juu huku naambiwa 150/= per kg for dry chilli na 40/= per kg for fresh
Hakuna kitu kama ordinary pilipili. Kuna aina mingi Sana. Leta sample au be specific. Chilli afadhali uuze ikiwa wet, yaani kama bado haijakauka. It takes 3.5kg of wet chilli to make a kg of acceptable dey chilli, ulipiga hesabu hapo the price is the same. The hustle sometimes is not worth it especially kama hakuna jua. Kuanika na kuanua, ile machozi utatoa ni mingi sana, kwanza usahau ujishike ukikojoa au macho bila kuosha mkono utalia sana.
Noted wacha nipitishe ujumbeHapa Mwea tunanunuliwa 50bob per kg of fresh chilli kwa farmgate.
How hard was that? Hizo ndio zinaitwa Bird Eye. Enda side ya Ngoliba, NYS, Matuu.View attachment 36851 Izi ndio zinatakikana. Iyo maswali ingine naeza kupa number muonge zijibiwe. Dry ndio zinatakikana whom am I to dispute what the client wants.
How hard was that? Hizo ndio zinaitwa Bird Eye. Enda side ya Ngoliba, NYS, Matuu.
Hapa Mwea tunanunuliwa 50bob per kg of fresh chilli kwa farmgate.
Mkojo hukatika pap pap unaanza kufikiria uko na STI..., kwanza usahau ujishike ukikojoa
You are yet to get back to me on the 2 tonnes ready this week.View attachment 36903
Wadau izi ndio zinatakikana si lazima zikue 7 tonnes any amount can be purchased
Will give you a heads up keshoYou are yet to get back to me on the 2 tonnes ready this week.
Wadau kuna mtu anataka pilipili in large amounts 7 tonnes . Kama wewe iko nayo kuja tupige fiashara otungu anuke.
Any leads will be highly appreciated. TIA