Kender9
Elder Lister
Let me rephrase: Sisi raia wa the 5 counties with restricted movement. Walitolewa Kajiado County na ndio hio mwili imepatikana Muranga County.
I thought ulikua unaamanisha unataka kudump mwili Murang'a but unaona ni ngumu.
Let me rephrase: Sisi raia wa the 5 counties with restricted movement. Walitolewa Kajiado County na ndio hio mwili imepatikana Muranga County.
They only put boundaries/ barriers on the road.
One can use a boat from Machakos to Muranga along River Tana.
The boundaries are very porous. Even with a car. They are not as efficient as we would wish them to be. Hata wewe saa hii if you want to go to Nanyuki there are very many ways to drive there.
Hekaya ikuomWatu wakule jasho halali.
huko kama wewe sio billionaire usiende, you will literally be turned backNataka kwenda Nanyuki.
Specifically Mukima ridge #10
Atakama ni brief yenye inaweza wekwa kwa newspaper....leta hekayaWatu wakule jasho halali.
Kama how killers walitembea na masimu. DCI iko on their assses
Kuna siku tulingoja hadi saa saba usiku utoe hekaya. Nafikiri ulikuwa umechapa busaa lakini wakati ilishuka uka-retreat.Kutoka kwangu![]()
Kuna siku tulingoja hadi saa saba usiku utoe hekaya. Nafikiri ulikuwa umechapa busaa lakini wakati ilishuka uka-retreat.
An inflatable motorized boat would navigate that river easily...Haha using a boat upstream isn't that feasible considering that the Tana has rapids in various places. Unless they rowed it to avoid a motor's noise which is even less practical.
Ah ah, I refuse to believe that they were not taken out by expert hitmen with connections above.
wamefungwa kama vile kina Willy Kimani walifungwa kule Ol Donyo SabukWeeeeeueeeh....