WANKSTA. WHERE WERE YOU HIZI MIAKA

This was my best version of this song:

The bass was awesome to say the least.

Used to have some speaker kwa mtungi mbili zimekatwa and then the unit inawekwa kwa zile drum za maji .Every Friday at 9pm pale Metro FM , push come to shove by Freddie Mcgregor ilikuwa inaweza sana . Later nikapata used car tyres and muziki improved .Shida ilikuwa cost ya kucharge battery hapo centre .
 
Huyu mjamaa na Alaine walifaa kupewa spouses wahamie huku full time. Walikuwa wanashinda huku kila mwaka.

Hii ngoma ikatoka nikiwa Milo kule Webuye kwa grandparent. Usitake jua vile msee aliretire 1980 alikuwa anaimba ni kama hana vitukuu

Halafu pia huyu akiimba na wale wasichana wote nilikuwa nimemezea mate.

Jamaica had truly landed here na hii ngoma...

Hehe. Wah
 
Unanirudisha mbali manze. Siku za msoto nilikuwa naishi kwa my sister pale Jam Rescue ya Umoja. Let's just say her female friends were my favourite visitors na lazima kungekuwa na background music ya kuficha visanga.

Uliona moto ilikuwa hapo juzi?
 
Back
Top