WANKSTA. WHERE WERE YOU HIZI MIAKA

Kibaki ushered a new dispensation and Kenya kulikuwa na good vybez in 2003 when this guy hit the scene with his Get Rich or die Trying album...someone in the neighbourhood lied to me that ¢50 was the son of Luo immigrants. Me being a foolish early teen, nikaamini until a few years later :D
Anyway, this was my fave track apart from In da club, of course


Shikilia hii mix, mzito:

 
Shikilia hii mix, mzito:


Safi sana doc.
Hapa kameshika mbaya sana with some Bluetooth speakers. If life is brief, then let us live it fully 😎
20210401_201341~2.jpg
 
Daaaaaaah! Kulikua na show flani sikumbuki jina ila host aliitwa Seki David's son. Alienda wapi?
Hata sikumbuki majina za hizo show lakini zilikuwanga fire!!! Saa hiyo nchi iko na mwamko mpya kila mtu ako na psych.
 
  • Like
Reactions: Gio
Back
Top