Reflecting On The Year

Ngimanene na Muchere

Elder Lister
ugali-scrambled-eggs-recipe-main-photo.webp

Niko hapa nikiwaza kuhusu hii mwaka and what I've been able to get done and what hasn't been done..... Came close to accomplishing my primary goal lakini there's some left and businesses had to close for the holidays......
Have been frustrated and wonder why do things become harder with time, kwani ni kitu imeandikwa pahali?
It's been a so-so year for me with nothing really so outstanding.

Hio Ngimanene na mayai ndio naona ikiwa fiti for a lazy Sunday lunch.

How was your year, accomplished everything you set out to do ama ni mangoto pekee?
 
tu-greens tungekuwa poa.

mwaka wangu umeenda largely vile nilipanga. Mvua kubwa tu ndio ilinikatisha kwa kamjengo kiasi but nitamalizia Jan mvua ikipungua.
Wapi huko bado kunanyesha, I thought it's been dry for over 10 days now.
 
Umeanza kukula kama kihii kiaganu?
Lakini ongeza sembe bwana.
Reminds me: I attended a buffet sometimes last week and I loaded my plate with my choice food. Then as I sat to demolish what I thought was a lot of food,a lady colleague was like 'kwani haukuli food?''
And I could not fathom what she was talking about until she explained that there was no 'ngimanene' in my plate...
Mlirogwa na ugali haki ya nanii..
 
lakni maji haija-evaporate. Lazima utulie hadi uwe sure mvua imeisha, otherwise you will drain then inyeshe for 3 days
Nyinyi ndio wale watu hujenga kwa riparian lands?
Naona Nema na Governors wenu wako usingizi.
 
Reminds me: I attended a buffet sometimes last week and I loaded my plate with my choice food. Then as I sat to demolish what I thought was a lot of food,a lady colleague was like 'kwani haukuli food?''
And I could not fathom what she was talking about until she explained that there was no 'ngimanene' in my plate...
Mlirogwa na ugali haki ya nanii..
Mimi buffet I eat meat and vegetables, siku hizi unga na Michele nimepunguza kiasi. Kitambi inanichungulia bila huruma.
 
Reminds me: I attended a buffet sometimes last week and I loaded my plate with my choice food. Then as I sat to demolish what I thought was a lot of food,a lady colleague was like 'kwani haukuli food?''
And I could not fathom what she was talking about until she explained that there was no 'ngimanene' in my plate...
Mlirogwa na ugali haki ya nanii..
Was she Lunje or Omogusii? Hao ndio wanapenda ugali sana.
 
Back
Top