JazzMan
Elder Lister
Once upon a time, I had landed this awesome lady who was my boss. She wasn't getting serviced and I stepped in to offer A1 services. Kwa ofisi, kwa taxi, kwa matatu, kwa nyumba ya best friend wake, hakuna mahali hatukuchafua. Little did I know it would end up making an impressions for a lifetime.
In all honesty, this was a woman worth settling with.
Fast forward a few months and a new position the relationship imeshika. At the time, my immediate boss hated my guts coz I performed better than he did. The guys under us would come to me instead of him. Hapa hata nikijaribu ku-apply 48 Laws of Power inagonga ukuta tu coz he was repulsive to the staff. Anywhere he appeared, production dropped lakini nikitokea all of a sudden kunakaa ni kama hakukuwa na shida yoyote. Akaanza kunichomea higher up nikajua my days are almost up.
Soon enough, I lost that job na nikaamua wacha nianze ku-hustle nijenge my own thing badala ya kurudi kuandikwa. I knew the going would be tough and it may take long, but in the long term, things would be amazing. At first, this lady was all for it. Msoto set in and to my surprise hakuhepa; so I thought. Akaanza kunipiga pressure tufanye wedding eti miaka zinasonga. Namwambia atulie kwanza ka-hustle kashike vizuri, hakuna mahali ninaenda. Instead, msoto kali ndio ikaingia to the point hata sikuweza afford mia tano ya kung'oa jino.
Nikaanza kuona hypergamy inaingia pole pole. Madharau hapa na pale, anaenda kesha kila Friday ama anaenda kulala kwa best friend yake. Mimi kama mwanaume nikaanza kujipanga. Nilikuwa na ka-man cave nikamuambia nimeenda huko kufikiria. Immediately akaanza kukataa kushika simu zangu, anakaa siku kadhaa kabla ajibu whatsapp ama texts nikajua natayarishwa. Nikamuambia kama hataki kuniongelesha ama aniambie shida iko wapi, basi kila mtu aende njia zake.
Ka-hustle kakaanza kuingiza kakitu pole pole. At this point nilikuwa nimekwisha hamia bed sitter yenye hata nimeshindwa kulipia rent. Nilikuwa literally nimeuza kila kitu nimebaki na the clothes on my back, converse pair moja, simu na laptop za ku-hustle. Pole pole nikaanza ku-sort madeni hapa na pale, kumeza madawa za h.pylori baada ya kuzongwa na stress mpaka nywele ikaisha kwa kichwa (imerudi). Nikaanza at least kununua vitu moja moja kwa nyumba. Gas muhimu, mattress, vyombo, viatu na kadhalika.
One year to the day she left naulizwa maswali kwa shosho mendia. Hata sijaelewa ni nini kinachoendelea. Kidogo, natumiwa picha ya omukhana on her wedding day. Niliketi chini nikaanza kujiuliza maswali nikijaribu kuweka two and two together, hesabu inakataa. Nikajiambia kama nimepitia hizo mashida na sikufa, hii haiwezi nifanyia anything. Nikusonga mbele kama injili.
A few months later, the girl started chatting me up on Whatsapp. Juu kila mtu amesonga mbele, nikamjibu tu. Akaanza kusuggest meeting for pizza. Nilikataa at first nikimuambia ashakuwa bibi ya wenyewe, sitaki kuwa separated na McAgary. Akaendelea ku-insist na kwa sababu I'm curious, nikajiambia wacha nione ni nini anataka.
Tukapatana pale Debonairs the first time, hakusema kitu ya maana just talking about marriage and what it is like with the in-laws. Second time hakusema kitu ya maana. Kidog akaanza ma-nostalgia ya zile vitu tulifanya kwa ofisi na mahali tulitoana. Nikajua hapa ni mtama narushiwa but since I am curious, acha nidone done nione mahali itaenda.
Soon enough, akaanza kusema vile the husband is a one-minute man and a lazy oaf. Nikamuuliza kwani hakujua hiyo kabla waoane? Eti ilikuwa a long distance thing and the few times alidhani the guy was too aroused and she brushed it off kwa sababu alitaka kuolewa. Akaanza ku-suggest tupatane nimsaidie kutoa kutu. Nikamuambia as long as she is still married, siwezi gusa yeye.
Fast forward a few months, omukhana amerudi kwao permanently. Apparently the hubby amekataa ku-improve game na since she has experienced a lot better before, hataki kurudi kwa mediocre. Kazi ni masimu tu na kunitumia nudes eti amemiss ile service nilikuwa nampea and she regrets leaving me in the way she did na anataka kurudi.
Wacha niendelee ku-sip cocopine nikioshwa maitho na disease-curing poses. Siingilii mashida za wenyewe.