second hand goods

Mongrel

Elder Lister
Nimefungua a second hand shop but the amazing thing is kumbe manyangau huwa mumefunga bedbugs kwa nyumba, unaitiwa kiti au kitanda na a fine ass girl,kitu yellow yellow, kuleta kwa shop imejaa kunguni, niwekeni kwa maombi wadau juu kunguni zitanimaliza lakini mkiwa na Mali muniitie juu man must eat,
 
Nimefungua a second hand shop but the disgusting thing is kumbe manyangau huwa mumefuga bedbugs kwa nyumba, unaitiwa kiti au kitanda na a fine ass girl,kitu yellow yellow, kuleta kwa shop imejaa kunguni, niwekeni kwa maombi wadau juu kunguni zitanimaliza lakini mkiwa na Mali muniitie juu man must eat,
Fixed
 
Nimefungua a second hand shop but the amazing thing is kumbe manyangau huwa mumefunga bedbugs kwa nyumba, unaitiwa kiti au kitanda na a fine ass girl,kitu yellow yellow, kuleta kwa shop imejaa kunguni, niwekeni kwa maombi wadau juu kunguni zitanimaliza lakini mkiwa na Mali muniitie juu man must eat,
Heri nivunjavunje kitanda nipikie kama kuni kuliko kuuzia mtu wa second hand shop. Mtu ananunua kitanda soo tano lakini ukirudi after one week kununua ile kitanda tena anaitisha five thousand.
 
weka diazinon handy. regular spraying will mean husambazi bugs kwa kastama.
Hapo utakuwa umemislead huyu ndugu yetu Wakastupid. Diazinon was taken of off quite a few markets some time back due to high toxicity.
IMG_20200829_133950.jpg
 
Back
Top