This is Guka - Kusema na Kutender

Field Marshal

Elder Lister
Juzi nimeji promise hata mimi nitakua mkulima mdogo wa kuku, milk goats na kadhalika.

The likes of Okiya, Mwarimo, Bae etc etc inspired me.

This week nimeanza kumwaga material Mos Mos nione nitakua nimefika wapi by December.

Sikwambia Bae kule naenda lakini site iko Ndeiya ndani. About half an acre on tarmac worth 8-10 m, nothing much.

My greatest joy today is that all those WhiteKAPS am taking are courtesy of Bae. Thanks sweetie. Pay bill ya site ni hiyo hiyo, usichoke.

As to the other jokers like @zapp_brannigan, ferk you. Msiponunua kuna wale wananipenda.

Most importantly, walk with me through this five month journey as I become a chicken farmer.


Chainlink nimeweka kwanza Ile ya nguvu
IMG_20200813_173055.jpg
IMG_20200813_173055.jpg
IMG_20200813_173041.jpg


Quarryship, sand na ballast nimemwaga Judi
IMG_20200813_172853.jpg
IMG_20200813_172949.jpg
15973301543094516171526406868046.jpg

Na botorobrush or whatever nilikuwa nishapanda.

Life begins at 72. Kaende kakiendaga...
IMG_20200813_172949.jpg
 

Attachments

  • IMG_20200813_172958.jpg
    IMG_20200813_172958.jpg
    2.8 MB · Views: 128
Back
Top