QuadroK4000
Elder Lister
Weed unavuta bila was, au vipi mdau
Yeah na unaweka Ile ngoma ya Antony Bishop... Victims.
Weed unavuta bila was, au vipi mdau
why? ama to remove the cake of dead skin and dust from the body since huko kuoga ni ngumu
Huku haikosi kunyesha ni ngori.Was there for a week. Kurudi home nikajiweka self isolation.. Was taking a cold water bath after every 3 hrs.
Huku haikosi kunyesha ni ngori.
Si ungenunua uje uuze Ruiru bypass, saa zingine Mungu anakuletea nyama hadi mdomo I Kisha wewe waitemaNilikua the areas around Kanyonyoo, Kikumini na Masinga huko Ukambani a few days back nilikua nauziwa mbuzi 3500 na mzee fulani alikua anazilisha kando ya barabara.
S
Si ungenunua uje uuze Ruiru bypass, saa zingine Mungu anakuletea nyama hadi mdomo I Kisha wewe waitema
Kuna ingine inaitwa Kikiini Secondary iko huko Kitui inakaa rangi huko ni the same white na blue huko chini.
Ulikua umefuata mini huko broKuna ingine inaitwa Kikiini Secondary iko huko Kitui inakaa rangi huko ni the same white na blue huko chini.
Place imekauka na Hakuna, stima eti transformer, ilichapa two years ago na Hakuna mtu hushughulika.
Huko ni deserted I say
Kuna ingine inaitwa Kikiini Secondary iko huko Kitui inakaa rangi huko ni the same white na blue huko chini.
Place imekauka na Hakuna, stima eti transformer, ilichapa two years ago na Hakuna mtu hushughulika.
Huko ni deserted I say
Na wewe hununua ardhi huko game reserveUlikua umeenda pia kuchapa deal na principle? If I remember well you supply schools
Na wewe hununua ardhi huko game reserve
Yah, nilienda kumsupply Machakos shule princi fulani alikuwa amenishow nimpelekee mali kumbe transfer ilikuja kwa ghafla na hakuwa amenishtua. Kufikia Macha napata princi mwingine akanishow hizo deliveries coz they were meant for the school nimuachie Kisha nipigie yule mwingine.Ulikua umeenda pia kuchapa deal na principle? If I remember well you supply schools
Mimi ni wandeiyaPure blood siku moja utakuja nikuuzie nikatae. Ringa tu na leafy suburbs of Dagoretti
How good.Yah, nilienda kumsupply Machakos shule princi fulani alikuwa amenishow nimpelekee mali kumbe transfer ilikuja kwa ghafla na hakuwa amenishtua. Kufikia Macha napata princi mwingine akanishow hizo deliveries coz they were meant for the school nimuachie Kisha nipigie yule mwingine.
Kupigia previous princi alinishow niende nimpelekee the same things huko Kikiini na niongeze vitu mingi ndio nipate kujilipa juu fare iko juu sana.
Man nilitoka home 6am nikafika huko 3pm. Uzuri wao sio watapeli coz kama hangenilipa I swear huko singerudi. Jan kufikia this year alinitumia kwa Mpesa zote hata sikiuamini. @Meria hope nimekujibu
kuna gari za private school ziko hapo kiambu rd zikiuza viazi na vegetables, sioni zikirudi kubeba watoto tena,and these are public schools. Those small estate private schools zitakua vibanda za soko soon
Hii ugonjwa imechapa wasee wenye wanasuppply shule viajab, Kumbuka zilifungwa ghafla saa hii hata kunao wasee employees WA public schools hawalipwi any coz funds Hakuna. Sasa hata hiyo Jan ikifika Nani Hao wako na millions za kukimbiza vitu huko wakauze. Kwanza watu WA foodstuff ndio badly hit coz WA vitabu na non perishable good wataenda wazitoe tu stores.How good.
Jan shule zikifunguliwa wapigie simu tena unukishe utunguu kabisa
Watarudi tu coz the schools transport biz is very lucrative. Pesa unalipwo monthly bila fail na wazazi wakikataa kulipa mtoto anaachwakuna gari za private school ziko hapo kiambu rd zikiuza viazi na vegetables, sioni zikirudi kubeba watoto tena,
School business will never be the same againWatarudi tu coz the schools transport biz is very lucrative. Pesa unalipwo monthly bila fail na wazazi wakikataa kulipa mtoto anaachwa
Yeah,ata private schools board ilikuwa ishasema most private schools itafungwa.